FAIL (the browser should render some flash content, not this).

Karibu katika Kampuni ya Iffa Seed

Mafanikio katika  kilimo ni  si kubahatisha ila Sababu nyingi huchangia mwisho huu, hali ya hewa, maji, udongo na mbegu bora. Sisi hutoa mbegu bora na yenye nguvu ili kuhakikisha bidhaa ya mwisho ni chakula chenye mavuno mazuri na ubora.

Iffa seed  hutoa uchaguzi rahisi  wa mbegu  zake na unaweza kwa urahisi kuchagua  kutoka ukurasa au kutoka ofisi zetu.

Kuhusu Sisi

Sisi ni kampuni yenye wataalamu  waliohitimu na wenye ujuzi wa kuhakikisha na kuzalisha mbegu bora ya hali ya  juu. IFFA SEED CO LTD. Ilianzishwa mwaka 2007 kwa lengo la kuzalisha na kusambaza mboga na nafaka yenye ubora wa hali ya juu, mwanzilishi wa Iffa Seed alikuwa akishiriki katika uzalishaji wa mbegu bora tangu 1990 kama mzalishaji  mwenye mkataba wa kuzalisha mbegu  kwa makampuni mengine. Endelea kusoma...

Mbegu Mpya