Kuhusu Sisi

IFFA SEED CO LTD. Ilianzishwa mwaka 2007 kwa lengo la kuzalisha na kusambaza mboga na nafaka yenye ubora, mwanzilishi wa Iffa Seed alikuwa akishiriki katika uzalishaji wa mbegu bora tangu 1990 kama mkulima mwenye mkataba wa kuzalisha mbegu,

Sisi ni kampuni yenye wataalamu  waliohitimu na wenye ujuzi wa kuhakikisha na kuzalisha mbegu bora ya hali ya  juu.

Iffa seed  hutoa uchaguzi rahisi  wa mbegu  zake na unaweza kwa urahisi kuchagua  kutoka ukurasa au kutoka ofisi zetu.